
Salma alipoona mwanamke anashuka kwenye gari la Fariss alikunja uso wake , alipogundua ni asha ndio kabisa alihisi kichwa chake kunawaka moto. Alimfuata haraka na kusimama mbele yake. " Wewe changudoa ulikuwa unafanya nini kwenye gari ya mwanaume wangu. " Mwanaume wako kwani ulimzaa mpaka awe wa pekee yako? " Kwahiyo unanihakikishia kuwa upo hapa kwaajili ya kunilinda si ndio. " Jibu ni ndio. Fariss alipomuona Salma alishuka kwenye gari na kuwa fuata. " Salma mpenzi achana nae aondoke hapa. " Fariss kaa mbali na hili acha nimfundishe adabu. Salma alivua mitandio na kujifunga kiunoni alafu akadhikana na asha na
0 Comments