
Liliuma kwa mda mrefu na baadae damu zilianza kunitoka ukeni, angalia ya Nasir nilijua kuna kitu alichokuwa amepanga ndiyo maana hakuonesha kushituka sana. 'Pole Fatuma tumbo litakaa sawa tu mke wangu!" "Umeamua kuitoa mimba Nasir!?" Nilimuuliza maana nilikuwa tayari nimeshajua lengo lake. "Eehe je? kama ni mimba ya baba na sio yangu? bora tu itoke" Nasir alizungumza, Nilibaki kwenye mshangao baada ya yeye kuongea vile, ila niliamua kunyamaza kwa wakati huo ili nije nimuulize vizuri Baada ya mda tumbo lilitulia na lilikuwa haliumi tena na ndipo Nasir aliponiambia ukweli sababu ya kunipa dawa ya kutoa mimba. Nasir alinieleza kuwa baba
0 Comments