
Mzoa taka hakutaka kukubali kwani alitumia nguvu na kuingia ndani. "Irene kwani mimi sio binadamu mpaka ukatae kunikaribisha ndani!?, mbona leo sijavaa nguo zangu chafu!?" aliongea kwa kulalamika baada ya mimi kumzuia. "Mbona una lazimisha kutengeneza mazoea na mimi!?" ilibidi nimuulize. "Moyo wangu Irene, moyo wangu, emu shika uone jinsi mapigo yangu ya moyo yanavyodunda" alishika mkono wangu na kuuweka kwenye kifua chake ili nipime mapigo yake ya moyo. Siku hiyo alikuwa hatoi alafu kama siku ya kwanza aliyoshiriki tendo na mimi ki nguvu. Damian hakuishia hapo tu alisogeza mdomo wake na kunipiga kiss kwenye shavu langu kisha baada ya
0 Comments