ILA BABA MKWE! ❤❤ 14

ILA BABA MKWE! ❤❤ 14

Sikuwa tayari kurudiana na Nasir kwani hakuonesha dalili za kubadilika ata kidogo kutokana na pombe kumtawala, mbaya zaidi hakuwa na kazi yoyote ile ya maana hivyo ungekuwa mzigo kwangu kwa mara nyingine tena wa kuishi nae. Bahati nzuri nilipata saluni sehemu nyingine tofauti na kwenye saluni ya Anna niliyokuwa mwanzo, niliombea Nasir asije kuijua Saluni hiyo maana hapakuwa mbali sana na mtaa aliokuwa akiishi yeye. Nikiwa nimeanza kuishi maisha mapya tena nikiwa ninasiku kadhaa sijafanya sex kuna mwanaume aliyekuwa na pesa alitokea kunipenda, alikuwa tayari kunioa na kuishi na mimi. Kwakuwa ni ndoto ya karibu kila mwanamke kuolewa na mwanaume

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments