ILA BABA MKWE! ❤❤ 15

ILA BABA MKWE! ❤❤ 15

Kuna binti tuliyemkuta hivyo alitupokea na wote tulisaidizana kuingiza mabegi ndani. Kijana aliyenileta aliondoka na mimi kutokana na njaa niliyokuwa nayo sikutaka kuona aibu zaidi ya kumuuliza binti alinipokea kama kuna chakula chochote kile. "Chakula kipo na umefika mda mwafaka na uzuri Halid aliniambia kila kitu" alinijibu na mimi sikutaka kuwa na maswali mengi kwake zaidi ya kutaka kula. Basi alitenga chakula na mimi nilianza kula mpaka pale niliposhiba. "Unaweza kuniambia wewe ni nani kwa Halid?" nilimuuliza pasipo kujali atalichukuliaje swali langu. "Oooh! Halid ni boss wangu na hii nyumba alinijengea yeye kwa maeleno yetu" binti aliyejitambulisha kwa jina la

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments