ILA BABA MKWE! ❤❤ 19

ILA BABA MKWE! ❤❤ 19

Asubuhi na mapema ilifika hivyo niliamka mapema siku hiyo nakutoka nje! nilishangaa kuiona gari ya Halid ikiwa nje, nilianza kuvuta kumbukumbu vizuri kile kilichotokea baada ya Halid kuniaga usiku uliopita, nilikumbuka vizuri kuwa sikusikia mlango ukifunguliwa zaidi ya sauti ya radio iliyokuwa ikisikika kwenye chumba cha Happy. "Ngoja nikamuulize Happy!?" nilizungumza na kwenda mpaka kwenye chumba cha Happy, nilipofika niligonga mlango na kulikuwa na ukimya upande wa ndani ila baada ya mda Happy alifungua mlango na aliniziba nisiweze kuangalia vizuri kwa ndani. "Happy ivi Halid alikuaga jana usiku!?" "Hapana siulikuwa umelala nae huko!" Happy alinijibu na kunifanya nishangae. "Kwani kuna

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments