ILA BABA MKWE! ❤❤ 20

ILA BABA MKWE! ❤❤ 20

Mawazo yalinituma nisogee mpaka kwenye mlango wa chumba cha Happy kwa ajili ya kusikiliza kile kilichokuwa kikiendelea licha ya radio kuwashwa, sikuweza kusikia chochote kile hivyo miguu yangu ilinirudisha chumbani na kwenda kulala. Siku iliyofata macho yangu hayakuamini kumuona Halid akitoka kwenye chumba cha Happy tena akionekana kuwa na haraka, Halid alishituka baada ya kuniona maana alitegemea mida hiyo ningekuwa chumbani bado nimelala. "Halid kumbe na Happy ni mke mwenzangu!?" nilimuuliza swali huku nikimsogelea. "Pole Fatuma kwa kukuficha hili, dini yangu inaruhusu mimi kuwa na wanawake zaidi ya wawili, Happy nae ni mwanamke mwenzako kama ilivyo kwa mama Nasib!" Halid

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments