🐓🐓 ILA KWA MPARANGE 😢 Sehemu ya Saba. 👉 Nipe jibu basi halima tutakuwa wapenzi wa kimya kimya?...👇

🐓🐓 ILA KWA MPARANGE 😢  Sehemu ya Saba.  👉 Nipe jibu basi halima tutakuwa wapenzi wa kimya kimya?...👇

" Baba mimi ni mke wa mwanao. ( Kabla mzee ajaongeza neno mama mkwe kaingia katoka sokoni anamwambia halima) " Huo mchicha utapika ndio mboga yako uongeze damu si unajua mchicha unaongeza damu alafu iyo nyama utapika kwa ajili yetu Sawa. " Sawa. ( Halima akawa anawaza mama mkwe ndio njaa au roho mbaya yani yeye ale mchicha wao wale nyama...akawaza uku anachambua mchicha...anamsikiliza baba mkwewe anavyosema pale) " Halima kanichua vizuri kidogo nasikia afadhali. " Sawa mume wangu acha nimsaidie kupika nyama kwanza mchicha atapika mwenyewe. " Ila kwanini na yeye asile nyama. " Kala sana kwenye harusi yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments