
NTULIPO ISHIA.. "Nampenda subira unaniruhusuu??" Nilifumba macho kusema ndio "Asante salma ,Hope uinuke hapo haraka mana kasema hataki tufunge ndoa mpaka wewe uwepo kwenye harusi ucheze mpaka basii " TUENDELEE.........👇👇👇41__42💘💘 Inno alinipigisha story akawa ananitania tania sana moyoni nikawa nasema sijui anasema mie ni sikio la kufaa mana alikataa nisiwe na Alex kabisa alijua sijui nitaishia kitandanii.. ?? Basi mama yangu alianza kuleta ma ostaz wa kila dizaini kunisomea dua , ikawa leo kwa baba MCHUNGAJI kesho kwa OSTAZI , Asubuhi Ostazi jioni mchungaji hayo ndio yakawa maisha yangu mapya kabisaa, nilikuwa nimechoka natamani kuwaambia embu niacheni jamani niacheniii lakini
0 Comments