Inasemekana kabla ya mechi ya jana Kocha Fadlu Davies aliwaambia Viongozi ili aketi kwenye benchi wakubaliane kwa maandishi kuwa hatopaswa kulipa mishahara ya miezi mitatu ili avunje mkataba wake, kitu ambacho bado hakijapata majibu kama waliingia makubal

. Ila taarifa iliyopo mpaka sasa ni kuwa Kocha amekacha hayupo na timu huku nao Simba wakiwa tu kimya, mtego uliopo hapo ni kuwa Simba wakitangaza kuvunja mkataba watapaswa kumlipa fidia na endapo yeye akitangaza kuondoka atapaswa kulipa mishahara ya miezi mitatu. Huku ripoti zikidai Kocha Fadlu anapokea mshahara unaokadiriwa kuwa karibu na Billion mbili za Kitanzania kwa mwaka.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments