#TetesiZaSoka🚨 Kocha Mkuu wa Simba SC Fadlu Davids Aondoka Kujiunga na Raja Casablanca!

#TetesiZaSoka🚨 Kocha Mkuu wa Simba SC Fadlu Davids Aondoka Kujiunga na Raja Casablanca!

Simba SC sasa wamerudi nyumbani bila kocha mkuu Fadlu Davids, ambaye inasemekana amerejea Morocco kujiunga na Raja AC. Fadlu, raia wa Afrika Kusini, atachukua nafasi ya Lassaad Chabbi aliyeondolewa kazi siku ya Jumamosi. Hii inakuja baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Gaborone United ya Botswana kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments