MICHAEL ALITUAMSHA TUKAENDELEA KULALA. _________________________ Mwaka 1983,

MICHAEL ALITUAMSHA TUKAENDELEA KULALA. _________________________  Mwaka 1983,

mwanamuziki Gwiji wa Pop duniani Michael Jackson akishirikiana na mtayarishaji muziki Nguli Quincy Jones waliketi kitako kutayarisha wimbo uliotungwa na Michael mwenyewe uitwao Liberian Girl. Wakiwa kwenye hatua za mwanzo za utayarishaji wimbo huo, Quincy akabaini uhitaji wa kitu kipya muhimu kulingana na maudhui ya wimbo husika. Alichofanya ni kumshauri Michael kuongeza kionjo kitakachoupa uzito ujumbe kusudiwa wa wimbo huo. Wimbo huo wa Liberian Girl unamzungumzia msichana mrembo wa Kiafrika kutoka nchini Liberia ambaye Michael alionesha kuvutiwa naye kimapenzi na hivyo kukaa chini na kuandika mashairi ya kueleza hisia alizonazo juu yake. Ili kuonesha jinsi Michael 'alivyokufa' kwa msichana huyo,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments