JAMANI BABA WA KAMBO UNANICHUBUAπŸ’πŸ’πŸ’ Sehemu ya Tisa ( 09 )

JAMANI BABA WA KAMBO UNANICHUBUAπŸ’πŸ’πŸ’ Sehemu ya Tisa  ( 09 )

________________________________ Burudan Simulizi πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ nlipomuangalia bwana harusi nligundua kua ni Sir David, David wangu, Mr David jamani, mwanaume aliepata ajali na wote tukaambiwa kafariki, baba wa watoto wangu sjui mnaelewa jamani…… Niliganda jamani nisijue la kufanya, nilie au nifurahi maana sielewi ni mtu au ni mzuka, Daaah Sir alinyanyuka huku bi harusi wake akimuangalia asijue nini kinaendelea, sir alinisogelea akasema “Oliva mke wangu” ukumbi wote ulishangaa watu wakasimama waangalie ni nini iki jamani, alinisogelea pamoja na suti aliokuwa amevaa akauzungusha mkono wake kiunoni kwangu mkono mwingne akanishika shingoni akanisogeza usoni kwake akaongea kwanguvu huku ukumbi wote unaskia “mke wangu oliva,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments