NIPE YOTE DADY💞💞💞32

NIPE YOTE DADY💞💞💞32

Tulitoka hadi nje ya geti Selim aka- request usafiri tukakaa kusubiri, mda wote alikuwa kimya sikutaka kuongea maana nilijuwa tu hayuko sawa.. Jabir aliungana nasisi alisema popote tutakapoenda kuyaanza maisha mapya yeye atakuwa pamoja nasisi.. Tulingoja usafiri ulikuja tukaweka mizigo kwenye buti kisha tukaondoka hadi sehemu moja hivi gari ilisimama tukatelemka tukaanza kushusha mizigo..nilihisi huenda ni sehemu aliyoiandaa selim ili tuyaanze maisha yetu mapya pale lakini ghafla nilishangaa kumuona Jeni pale.. Niliishiwa pozi Jeni alisogea na kunishika mkono tukaingia ndani alinikaribisha akanambia "pole Selim kaniambia umefukuzwa kwenu, ila usijali utakuwa na sisi hadi mda utakao penda mwenyewe si ndio Jabir

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments