JAMANI BOSS USIWEKE 14&15*

JAMANI BOSS USIWEKE 14&15*

Sikujibu kitu zaidi ya kulia tu, alizidi kunikumbatia uku ananiomba msamaa, P naomba niludi kwanza nyumbani, p alikataa kabisa akasema nimpe muda kila kitu kitakuwa sawa, sisi tutaishi hapa hapa, kesho nitamleta bibi, kule sio salama, wale wanawake wawili wana roho mbaya mno... Na dada wa kazi nitakutafutia naomba unielewe, sikujibu chochote nililala tu bila mwafaka, asubuhi niliamka nakuta P kakaa ananilinda, nilivyoamka ananiuliza naend wapi, ata sikujibu, nilianza tu kufanya usafi, nikapika na yeye akawa ananisaidia, kidogo bibi akaletwa na Amir, chumba chake tayali P alikiandaa usiku... Nilimuandaa bibi vizuli, alikuwa na msaidizi wake, niliandaa chakula nikajikaza nikaenda kumlisha,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments