π‰π€πŒπ€ππˆ πŠπ€πŠπ€ 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐒𝐇 πŸ«¨πŸ˜‹ πŸ˜‹ πŸ”₯ 16

π‰π€πŒπ€ππˆ πŠπ€πŠπ€ 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐒𝐇 πŸ«¨πŸ˜‹ πŸ˜‹ πŸ”₯  16

π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š:....: SONGA NAYO........ mama akanitazama nilijua ananiamishia kesi mim nikawa naogopa akantazama brie afu akamwambia ivi unaniona mm ni mpumbavu kiasi Iko Yan ufanye ww upumbavu afu useme ni ya Anna uyo ana unalala nae chumban kimoja...oooopsii kidogo nilishisha pumz mana nilihis nauliwa mama akaniambia unamuona uyu mtoto alivyo mpumbavu skuiz amekuaje uyu mbna kabidilika Sana yan kitu unafanya ww unamsingizia mwenzio huoni haya librie likawa kimya tu mama akaniambia ana nenda kanipe ule mti kulikuaga na fimbo ya ufagio zile za kufagia ndan Sasa ufagio ukawa umeisha ikabakiile fimbo mama aliifadh store nikaenda kufata Ile fimbo nikampa mama brie

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments