
( shida ya maji shikamoo) _________________________ Mume wangu mume wangu ndio unaondoka. " Ndio naondoka kwani vipi? " Samahani mume wangu pesa hii aitoshi. " Uliwai kuona wapi pesa inatosha uoni matajili kila siku wanatafuta. L" Samahani sipo uko namaanisha pesa aitoshi gharama ya maisha imepanda dumu la maji linauzwa tsh 1000 sasa ivi kuna shida ya maji. " Wewe sikia katafute maji yanapouzwa shilingi Mia au 200 uchote usinizingue. " Wapi sasa. " Hao wanaokuuzia dumu 1000 wanachota wapi waulize. " Mume wangu inawezekana ni mbali. " Mbali Kesho tu acha niwai. ( Mume wangu sio mtu wa kuelewa
0 Comments