
( shida ya maji shikamoo) ________________________ π Kaongea jambo zuri ila ndio nikubali kisa maji Dah yan...π Nikamwambia) " Naomba niende tutaongea siku nyengine. " Kwaiyo umekubali mimi ni wako itakuwa siri yetu. ( Niliona nijibu kwa kumlidhisha tu hili nitoke na maji) " Ndio. ( Akanipa maji...nikaondoka nayo nimebeba ndoo naenda nyumbani namkuta mzee mmoja anamwambia mume wangu) " kijana acha mfumo dume kwenye hili janga la maji unatuona sisi wanaume wenzio tunakaa foleni mabombani tunasaidia wake zetu maji kuchota wewe usiku huu unamtuma mkeo akatafute maji unakosea. " Mimi jandoni sikufundishwa uboshoke yani nikae foleni bombani kama vile
0 Comments