
( shida ya maji shikamoo) __________________________ π Nashangaa ananilamba machozi yale uku ananikuna kuna kichwa ananibembeleza jamani...π Nasikia raha nikawa nimetulia akaniambia) " Umekula? " Sijala bado. " Basi subili ule my. ( Aliniweka kwenye sofa taratibu kweli nimekaa namuwaza yeye mbona uyu anajua kujali kuliko mume wangu...alitoka nje kumbe kaenda kuninunulia wali kwa mama ntilie na kuku nusu akaniletea na juice...kweli nilikula uku ananiambia) " Usilie nyamaza. " Sawa. " Niambie kisa nini mpaka amekupiga? ( Nikamwadisia mwanzo mwisho akaniambia) " Uyo kakufukuza ila ukilala nje ni tatizo kubwa zaidi nakupenda na sitaki upate tatizo naomba urudi akakufukuze tena
0 Comments