
SIMULIZI : 🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️🏵️ 🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂🍂 SEHEMU 01 MWANZO........ Kitendo cha kutoka tu ndani kwangu nilistaajabu baada ya kumuona mchumba angu ambaye tayari alikuwa ashanichumbia amemshika binafu yangu kiuno huku akimuangalia kwa wasiwasi kidogo. Binamu alikuwa wa mwanza kuniona hakuonyesha kustuka wala nini badala yake aliachia tabasamu alagu alimgeukia mchumba angu. Nilisikia akizungumza. Naomba uniwaishe hospitali tumbo linaniuma sana, nilimwambia Nice lakini hakujali, napoelekea naweza kuzimia. Binamu alimwambia mchumba angu Sony huku akizidi kujilegeza na kujifanya mwenye maumivu. "Huyu mtoto mbona ameanza kunifanyia drama, ananitafutia nini mimi?, nilijiuliza mwenyewe huku nikiwa nawaangalia na mpaka muda huo Sony hakuwa amenioan. Sony alifika hapo
0 Comments