
( Jamaa udenda wa tamaa ulikuwa umemkamata anawaza ataanzaje sasa...wakati anawaza hawa akajipalia wakati amelala akaanza kukohoa....hapo jamaa akarudi ndani fasta...hawa akakohoa mpaka akaamka akaingia chumbani kwake akavaa nguo fasta ata kunawa uso ajanawa akaanza usafi yani anaishi kwa mashaka kama vile ayupo na mama yake mzazi...jamaa akatoka akamsalimia) " Hawa ujambo. " Sijambo baba Shikamoo. " Marhaba. " Samahani baba naomba umwambie mama mimi siwezi kukuita wewe Rama. " Achana nae mama yako alikuwa na hasira zake tu. " Sawa baba. ( Jamaa akaenda kuoga...akamuachia pesa hawa alafu akaenda kazini uku anasema kimoyoni...shetani wa matamanio toka kichwani mwangu.....akafika sasa
0 Comments