James Howells hatimaye ameacha kutafuta hard disk

James Howells hatimaye ameacha kutafuta hard disk

Baada ya miaka 12, James Howells hatimaye ameacha kutafuta hard disk aliyotupa kwa bahati mbaya mwaka 2013 ambayo ilikuwa na Bitcoin 8,000 — ambazo kwa sasa zina thamani ya takribani dola milioni 950. Ifikapo mwaka 2030, thamani yake inaweza kufikia dola bilioni 8 sawa na shilingi Trilioni.2.47 za Kitanzania.. Ungekubali kupoteza utajiri huu..? ✍️🏽@adabu__ #entertainment

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments