
Machi 25, 2008 itasalia na kumbukumbu kubwa kwa nchi moja wapo ndogo katika bahari ya Hindi ya kutambulika kama Comoros, oparesheni maalum ya Kijeshi ya kumchomoa Kanali Mohamed Bacar aliyejitangazia mamlaka ya kisiwa cha Anjouan. Jioni moja kabla ya Machi 25, kuta za Mamlaka ndani ya Umoja wa Afrika pale Addis Ababa zilijadili nini kifanyike huko Comoros baada ya mazungumzo ya muda mrefu, bunduki huwa ni option ya mwisho Afrika endapo mazungumzo yatashindikana. Mwenyekiti wa Umoja Afrika wakati ule alikuwa Luteni Kanali wa JWTZ ambaye ndie Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete baada ya mazungumzo ya
0 Comments