
. π Yani ajamaliza kuongea alisikia kichwa cha mdomo mazima puu...π Akaenda chini watu wakaingilia kuamua ugomvi...sasa asha mnato alivyokuwa anaongea akaonekana yupo sahihi kwa wamama wote waliokimbilia pale) " Wamama uyu demu akili ana yeye alivyokuwa ameharibika anataka kumwaribu na uyu binti asiye na hatia au kisa mama yake mzazi yupo kabulini kaka yake umemfanyia fitina afukuzwe na baba yake kwao hili umwaribu uyu binti angalieni wenyewe alivyomvalisha. ( Wamama wote wakaja juu na kuna mmoja aliwai kushuudia tukio la njunja Basi aliongea pale...wamama wakampiga chausiku kwa kumchangia uku wanamtukana) " Wewe umempa mkundu baba wa uyu mtoto umemchanganya
0 Comments