KAKA ME DADA YAKO 7

KAKA ME DADA YAKO 7

SIMLIZI: Ilipoishia .. kama hutaki kutoa hiyo mimba basi twende tukaje mji tumlee mtoto. ..kaka mika mimi ni dada yako 👇👇👇👇 Mika alimsogelea jenn akamkumbatia Sikia dada jenn kweli wewe ni dada lakini Hawa ni maji yamekwisha kumwagika Hatuna njia nyingine Naomba jenn ufanye mamuuzi ili tukinusuru Kwa huri kule baba ana tuwinda kama wanyama Mmh kaka mika nini unasema mimi nawewe tumetoka tumbo moja Ni jambo gumu lisilowezekana kuishi kama mme na mke mimi na wewe Sawa dada jenn. Sasa unamamuzi gani Maana mimi hapa nimechoka kukaa hum guest house Nataman niwe huru Mika nilipo kwa sasa sina uamuzi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments