
SIMLIZI: Ilipoishia 👇👇👇 Nilichukia nilipomuona mika ametoka nje niliamua kutoroka Nakuingia mjini mwanza bora nikafie mbele Nikiwa njiani nikamuoma baba uso kwa uso ***** Sikuwa na chaguo lingine zaidi ya kuanza kukimbia Mda huo ilikuwa ni majira ya saa sita mchana Huku na huku baba anakuja kwa kasi nyuma Huku akisema wewe jenn simama Tuyamalize lakini sikuweza kumuelewa Nilifika maeneo ya daraja la mabatini Hapo ilinilazimi nikatize barabara Maana baba alikuwa amenikaribia Nilifanikiwa kuvuka ile naruka mtalo tu nikasikia Kilio nakufaaa . Niligeuka kwa msutuko mkubwa .. masikini baba aligongwa na gari akafa palepale Daar mara watu walinigeuzia kesi Wewe
0 Comments