NDOA YA MIE ... 8...

NDOA YA MIE ... 8...

MTNZ: ZAMRATA MBWANA (ZM) NO: 0698095257 Tulipo ishia ni Pale Baba yake Zenafa anataka Akafanyiwe Operation na Gharama Zote Amelipa Mzee Kazumari . Songa nayo ... Hatimae Muda wa Kufanyiwa Operation Baba yake Zenafa Ulifika Na Zenafa na Ndugu zake Walikuwa nje ya Chumba cha Operation huku Wakiwa na Hofu tele na Kumuomba Mungu Awasaidie . Zenafa Alikuwa Atulii kwenye Kiti cha Hospital mda Wote Aliinuka na Kukaa Baada ya Masaa Matatu Jopo la Madokta Lilitoka nje na Dokta Patrick Aliwafata. Dokta:"Samahanini Jamani " Zenafa : "Vipi Dokta Baba yangu Anaendeleaje " Dokta: "Anha Hali ya Mgonjwa. Ni kwamba tumejitahidi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments