
........ ANZA NA LIKE KISHA SOMA VIZURI.......Kupambazuka kwa siku mpya kulienda sambamba na mimi kurudi zangu nyumbani, sikutaka kukaa sana katika eneo lile isipokuwa nilimuahidi Mzee kwamba kama nikikamilisha kile ambacho nimekidhamiria basi ningerudi kumpa majibu, naye alinipa baraka zote. Niliondoka kwa Mzee majira ya saa moja asubuhi ambapo nilipitia nyumbani kwa Debora na kuweka mazingira sawa kama ilivyokuwa ada yangu. Siku hii sikutaka kuweka makazi mengi sana, nilijiambia kwamba natakiwa kusafisha kuhusu kupika halikuwa suala la muhimu sana bali jioni itakapoingia ndio nitarudi tena kupika na kama ingewezekana basi ningelala mahala hapa ili siku inayofuata niwahi kwa mganga. Baada
0 Comments