🐓🐓 ILA KWA MPARANGE 😢 Sehemu ya sita.

🐓🐓 ILA KWA MPARANGE 😢  Sehemu ya sita.

👉 Mke wangu....👇 ( Mke akawai tenge kuvaa uku anamshangaa baba mkwewe analia) " Yalaa mguu wangu. " Mke wangu ulikuwa unafanya nini na baba yangu. ( Anataka kumpiga tu..baba mtu anasema) " Usimpige nilikuwa natengeneza umeme juu uko nimedondoka mguu wangu jamani. ( Mwanawe kuangalia kichwani anaona utandabui kibao mixsa mivumbi akasema ni kweli kimoyoni mala mama yake anaingia) " Wewe mzee ubishi umekuponza nilikwambia ita fundi umepanda mwenyewe ona sasa unataka kuvunja mguu utakuja kufa kwa ubishi wako. " Tatizo dogo tu nimwite fundi kweli. ( Basi mtoto mtu anamnyanyua baba yake anamtoa nje anaita bajaj anampeleka hospital

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments