KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA KUMI NA MBILI*🥰

KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA KUMI NA MBILI*🥰

Farida aliendelea kucheka. "Sasa unacheka wakati sijamaliza kukuelezea. "Mama bwana hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kuja kukisema kampa mimba mtu kama Shania? "Tena sio kusema tu na vitendo nimevishuhudia kwa macho yangu. Shania ametoka kuzurula akatukuta hapa alipomuona tu huyo mwanaume akimkimbilia wakakumbatiana yani unaona kabisa hawa watu wanapendana..... Kabla mama Farida hajamaliza kuongea Farida alianza tena kucheka. "Mama hicho unachokiongea kwenye uhalisia wala hakipo labda kwenye filamu na maigizo. "Basi hayo maigizo utakuja kuyaona hiyo kesho. Jioni mama Farida alikaa na ndugu zake na kuwaeleza kila kitu kuhusu Shahid. Kila mtu alikaa kimnya kwa muda hakuna mwenye

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments