MALIPO YA BUSU BALAA! 💋15

MALIPO YA BUSU BALAA! 💋15

Suzan alirudi nyumbani kwao akiwa hana furaha alirudi kanyongonyea kama mgonjwa mpaka mama yake aligundua kuwa hayupo sawa. "Suzan mbona upo hivyo? " Nipo sawa mama ni uchovu tu , naomba nikapumzike kidogo. " Sawa. Suzan alienda chumbani lakini alishindwa kabisa kutulia alikuwa akimtafuta Victor pamoja na D bado wakawa hawajapatikana. Siku ya pili ilipofika, Suzan aliendelea kuwa kwenye wakati mgumu simu zilikuwa hazipatikani. Alijaribu kupiga simu ya Victor tena na tena bado haikupatikana. Aliamua kurudi kule nyumbani kwa Victor kwa matumaini huenda amerudi. Alipofika, alimkuta mlinzi yule yule alikuwa getini jana " Karibu madam. " Nimekuta Victor? " Hapana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments