KICHAA NA MIMBA YA BOSS❤ _____________________________________* *SEHEMU YA SITA*

KICHAA NA MIMBA YA BOSS❤ _____________________________________*  *SEHEMU YA SITA*

Tessy alitafuta nguo nyingine na kumvakisha, kwakweli Shania alikuwa na damu ya nguo Lilikuwa ni gauni la dhambarau iliyokolea lakini lilimtoa sana na kumfanya avutie. Walitoka chumbani wakawa wanaelekea sebleni Shahid alipomuona Shania moyo wake ulishituka na macho yalimtoka muonekano wa Shania haukuwa kama wa yule kichaa ambae alimtoa mtaana. Shania alipomuona Shahid alianza kumuonea tena aibu. Shahidi akajua kwa hali zile Tessy anaweza kugundua kitu. "Tessy nenda kaendelee na kazi zako acha ale nimpeleke. "Lakini boss nilikuwa nina wazo. "Hayo mawazo utakuja kuniambia jioni. Nadhani muda huu itakuwa vizuri maana ni kumuhusu Shania. Shahid aliposikia hivyo moyo wake ulimpasuka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments