
Zamani kulikuwepo mfalme mwenye nguvu kubwa aliyeitwa Firaun. Alitawala Misri na kujiona hana anayemzidi. Kwa kiburi chake, alifikia hatua ya kusema: “Mimi ndiye mola wenu wa juu kabisa.” (Qur’an 79:24) Firaun aliwatesa wana wa Israil, aliwaua watoto wao wa kiume na kuwaacha wa kike, akidhani kwa kufanya hivyo ataizuia haki isishinde. Lakini Allah (ï·») akamchagua Nabii Musa (A.S) ili amkumbushe na kumuonya. Nabii Musa (A.S) alimwambia Firaun amche Mungu mmoja na awaache wana wa Israil waende zao. Lakini Firaun alikataa, akazidisha kiburi na dhulma. Allah (ï·») akamletea ishara nyingi: — fimbo ikawa nyoka — mkono ukawa mweupe — njaa, mafuriko
0 Comments