
Basi nikajinyanyua na kumkiss kwenye shavu, akanivuta kisha akanipa French kiss moja matata kisha akasema “Mimi ni mume wako, hakuna mwanaume hata mmoja kwenye hii dunia ambae anaruhusiwa kukushika hata kucha, sasa jifanye mwenda wazimu, wewe na huyo nitakae kukuta nae mtanijua mimi ni nani, kisha akaondoka zake…. Nikaanza kujiambia kuwa, ukisikia mapenzi ya kibabe basi ndio haya, mwanaume mbabe kama kitu gani, nikajikokota pale kitandani taratibu na kuelekea bafuni, nikiwa bafuni nikaanza kupata wazo, maana kwenye harusi niliambiwa kuwa naolewa kwa niaba ya Eric, na huyu kaka mjeda ameniambia yeye ni Eric, na kuna muda ananiambia kuwa yeye ni
0 Comments