
Safari ilikuwa ndefu kidogo ilichukua takribani dakika 30, mwishowe walifika kwenye jumba moja la kifahan Deo alldimamisha pikipiki kisha akashuka na kumuamulu Prisca ashuke Walisomea karibu na geti la ile nyumba Deo okabonyeza kengere. Baada ya sekunde mlinzi alifungua "Boss wako yupo? Deo aliuliza bila hata salamu "Una miadi nae? Hapana. Subiri kwanza alisema mlinzi na kutaka kufunga geti lakini Deo alizuia geti kwa mkono wake na kusukuma kisha wakaingia huku akiwa ameshika mkono Prisca. "Vipi mbona unaleta ubabe? Kijana tulla mimi mwenyewe huko kwenye maeneo yangu ya kujidai ni boss kwahiyo jiheshimu kama unavyomuheshimu boss wako. Deo aliendelea kuongea
0 Comments