MTOTO WA MAID ACHIA MOYO WANGU SEHEMU YA TANO*

MTOTO WA MAID ACHIA MOYO WANGU SEHEMU YA TANO*

Siku ikapita, ila Rose alianza kulalamika nikama nimeanza kujitenga kuna siri gani kati yangu na Madam nilimwambia hakuna lolote, ila alionekana kuchukia, sikujali nilikuwa bze kujisomea kwa ajili ya mtihani, hatimae nikahitimu, siku ya kurudi nyumbani ikafika, madam akaomba ruhusa, tukawa tunasubiri usafiri tuijiwe,tukiwa tunasubiri ikaja gari ya bei mbaya afu safi vibaya mno, ikapaki mbele yetu,akashuka Teacher G, kila mtu akawa anamshangaa, Rose akaomba lift, Teacher akakubali tukaambiwa tupande wote, Rose akawahi mbele mimi na madam tukakaa. nyuma... Tulisalimiana uku gari inatembea, alitupa hongera kwa kuhitimu,muda huo tuliwajulisha nyumbani wasije tuko njiani tayari, ilikuwa ni mwendo wa masaa kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments