MIMBA YA DHARURA* *_____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

MIMBA YA DHARURA* *_____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA SITA*

Kabir alinyamaza, alimuangalia bila hata kupepesa macho. Midomo yake ilifunguka lakini hakutamka neno. Kabir alinyanyuka kitandani, akikaa kitabdani huku akimshika mkono Nadia. “Nadia… unasema una mtoto? " Ndio mimi ni mama. " Ni mtoto wa Jayden? Nadia alitingisha kichwa akimaanisha hapana. Kabir alikaa vizuri huku akiwa kamkazoa macho. " Siku ile kwenye kile kibanda cha Wamasai ukipanda mbegu kwenye tumbo langu la uzazi..... Kabir alimuangalia usoni kama vile umaskini anachokisikia, kuna muda alionekana kutaka kutabasamu lakini tabasamu liligoma kuchomoka. " Kwahiyo mimi na wewe tuna mtoto? " Ndio mtoto wa kiume anakaribia mwaka sasa. "Kwa nini huniambii mapema? Umekuwa ukipitia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments