Kocha Fadlu Davies anahitajika Raja Casablanca ya nchini Morocco 🇲🇦 malipo ni mazuri

Kocha Fadlu Davies anahitajika Raja Casablanca ya nchini Morocco 🇲🇦 malipo ni mazuri

na maradufu ya kile anacholipwa Msimbazi, kama ataamua kuondoka maana yake anaondoka na benchi lake lote la Ufundi, inatajwa pia kuwa Kocha Matola ni sehemu ya timu yake kwasasa ya kwamba endapo ataondoka basi ataondoka nae ijapo bado sio taarifa rasmi.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments