Ni 2019 kwenye afcon iliyo fanyika pale misri, Tanzania dhidi ya Senegal, pali shuhudiwa bonge la mbungi ambapo stars alikufa mbili bila,

Ni 2019 kwenye afcon iliyo fanyika pale misri, Tanzania dhidi ya Senegal, pali shuhudiwa bonge la mbungi ambapo stars alikufa mbili bila,

Cha kufurahisha zaidi ni goli la huyu krepin diata, aliachia shuti Kali dakika ya 65 mpaka watu Waka hisi dogo alikuwa na mpango wa kumuua manula, bahati nzuri manula hakujisumbua kufuata mpira mpaka ukazama wavuni, kesho yake nchi nzima mtandaoni ni picha za huyu dogo, Mwite Krepin Diata ambaye hato Toka kwenye fikra za Tanzania one 😆

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments