KOSA MOJA LILINIFANYA NIHARIBU MAIDHA YANGU YOTE Note : Ina maudhui ya watu wazima kuwa mwangalifu Sehemu ya 2

KOSA MOJA LILINIFANYA NIHARIBU MAIDHA YANGU YOTE   Note : Ina maudhui ya watu wazima kuwa mwangalifu   Sehemu ya 2

Nilishindwa hata kushika simu vizuri. Moyo ulikuwa unapiga kama ngoma ya arusi, mikono ikatetemeka, miguu ikalegea. Nilihisi kama dunia nzima imefunga macho kwangu, ila tu macho ya wanadamu ndio yananiangalia. Kichwani nimechanganyikiwa hata wazo la kuzifuta nikawa nimesahau naanza kulia. Huku nikizunguka na kushika kichwa changu mawazo ni mengi sana yaaani sina cha kufanya nilipiga piga kichwa changu nikiwa nawaza utafikiri ni kama ile picha imepostistiwa nchi nzima.na dunia nzima kwa ujumla Nilifungua WhatsApp kwa haraka nikakimbilia lile group la kazi. Nikafungua… na pale mbele ya macho yangu kulikuwa na mimi. Mimi niliyekuwa nimeacha kila kitu baada hata kanguo hata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments