SEHEMU YA KUMI NA TANO* MADAM JOY NA MIMBA YA CEO MWANAFUNZI❤

SEHEMU YA KUMI NA TANO* MADAM JOY NA MIMBA YA CEO MWANAFUNZI❤

Alifika mwanza akaanza maisha upande wangu tayali nilikuwa nimejifungua nina miezi minne sasa, nilianza kwenda kazini kwangu, sikutaka kulemaa, nilijifungua mtoto wa kike nilimuita jeani, mtoto alikuwa baba mtupu adi kiburi... Nikiwa zangu bize na kazi, nikapigiwa simu na mlinzi, dada jeon kaludi, anakutafuta vibaya mno vipi nimpe no yako? Nilishtuka ila nijasita na kumwambia, " kaka usimpe kwanza tujue na yeye lengo lake kwanza huenda ni adui sisi tunahisi anatutafuta kwa wema... Alinielewa akakata simu,maisha yaliendelea niluanza kujifunza pia mecup na ususi, ili nifungue ofc nyingine, niluamua kupambana kweli kweli,binti yangu alikuwa msumbufu japo sio sana lakini alikuwa akiamua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments