Kupitia kwenye akaunti yake ya Instagram msanii wa Bongo Fleva @realjaymelody ameonyesha kukerwa na mtu ambaye hakumtaja jina ameishia kutaja Kipara chake.

Kupitia kwenye akaunti yake ya Instagram msanii wa Bongo Fleva @realjaymelody ameonyesha kukerwa na mtu ambaye hakumtaja jina ameishia kutaja Kipara chake.

Ameandika kuwa: “Usela ukizidi sana, Ndugu yangu utakwenda jela. Kila wakati unaleta leta miyeyusho na kipala chako Watu wanakausha kwa sababu wanakuona kama chizi. Lakini nakuapia kuna siku utayavagaa halalu utajutia sana” Unahisi Ujumbe wa Jay Melody unamlenga nani??

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments