
wa filamu huko India Kufanya kazi ktk filamu kwa muda wa takribani miaka 65 simchezo kushiriki ktk filamu zaidi ya 300 Dharmendra ataendelea kukumbukwa kama muigizaji Bora wa muda wote aliyewahi kuishi huko India na kuhakikisha watoto wake wanaishi kile alichokifanya mpaka anafariki ameacha Legacy inayoendelea kwa watoto wake Boby na Sunny ...
Soma zaidi
0 Comments