Oooh anko Mudy usichomoe..16 Dar es salaam SEHEMU YA KUMI NA SITA ENDELEA Kitu cha kushangaza zaidi baada ya dakika moja

Oooh anko Mudy usichomoe..16   Dar es salaam  SEHEMU YA KUMI NA SITA   ENDELEA                                Kitu cha kushangaza zaidi baada ya dakika moja

tangu wafike hapo binti alimuaga mjimba wake na kuelekea chooni akiwa amebeba pochi yake haukupita muda mrefu binti alirejea akiwa amebadirika kabisa hakuwa na mavazi ya mwanzoni aliyovaa pindi wanakuja hivi sasa alikuwa amevalia taiti ya kijivu iliyo ushika mwili wake vikivyo juu alivalia t shirt ya njano alitembea kwa madaha kuja usawa alipokaa mjomba wake.mjomba alikuwa akipiga funda la glasi ya bia lkn gafla alijikuta akipaliwa baada ya kumuona binti huyo akitokea chooni akiwa ndani ya mavazi hayo ya mitego bila shaka hakuwahi kumuona ashura akiwa ndani ya mavazi hayo “ khoooohooo . .khoooohoooo” “mmmh anko kupaliwa huko kwema”

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments