LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Barua ililetwa na baada ya wiki mahari

LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII *SEHEMU YA KUMI NA SITA*  Barua ililetwa na baada ya wiki mahari

nayo ililetwa ilikuwa ml 4 na mimi hapo nilikuw nishaanza kazi na kipindi hiko mawasiliano yangu kati yangu mimi na lecturer yakawa shida zinaweza kupita siku 3 mpaka nne hatuwasiliani mimi na yeye na nikija kuwasiliana nae anasema mafunzo sasa hivi yamezidi kuwa magumu sana nilimuelewa nikajua ni shughuli maana hata mimi nimesoma chuo wanafunzi wa mwaka watatu nilikuwa nawaona hiki kipindi cha mwisho wanakuwa busy sana mara trip mara wawe wanaenda wodini kwahyo nilikuwa namuelewa hamna kitu kibaya nikichokuwa nahisi kati kati yake ila nilizidi kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kwa uweledi na nilizidi kufanya ibada maan ibada

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments