𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗣𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗜𝗔 𝗕𝗢𝗦𝗦 𝗕𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 SEHEMU YA 16 Asubuhi na mapema Alberto akaamka

𝗡𝗜𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗣𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗜𝗔 𝗕𝗢𝗦𝗦 𝗕𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 SEHEMU YA  16 Asubuhi na mapema Alberto akaamka

akaingia bafuni chap kuoga Kisha akatoka akiwa kashavaa Kila kitu ,akajipulizia marasha na hata hakunisumbua labd kuniamsha ,ila aliacha ujumbe wa wafanya kazi . Mie chauvivu nimekuja kuamka saa Tano Sina hili wa lile ,apo najisemea ngoja nikaoge nikimaliza nimfate Alberto wangu ofisini kumsalimia . Mlango wa chumbani kwangu ukagongwa ,kabla cjajibu ufungulie ,yule mama mtu mzima akaufungua yeye mwenyw .akaingia bila salamu yoyote akanipa simu yenye ujumbe wangu . kuufungua ule ujumbe nakuta imeandikwa Mke nimepata dharura ivo sitokuwepo Kwa wiki tatu naomba ujilinde na nimekuwek bastora apo chini ya kitanda ,bafuni Kuna nyingine ,kwel dress table na kwenye

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments