
Kama mnavyojua umri wangu ulikuwa umeshaenda kiasi, kwa maana nilikuwa nimeshaishi robo karne na zaidi, na utamu na ujua, kuna siku Yule mwalimu mwenzangu alikuwa anaiotwa shedrack akanichukua na kunambia ana hamu na mimi sana, na vile na mimi sikuwa nimekung’utwa vumbi vizuri nikubali, basi tukaenda kupima kisha nikaja nae nyumban kwangu, tukapika tukala na baada ya hapo tukaanza ile michezo yetu, tukiwa kwenye hatua za awali kabisa, mara nikasikia mlango unagongwa, nilishtuka maana ilikuwa ni saa nne kasoro usiku, haikuwa rahisi hata kidogo mtu kuja kunigongea mlango muda kama ule… Tunatahamaki simu ya shedrack inaita, kuangalia kuna namba ameisave
0 Comments