MAMA WA KAMBO ALIVYO TAKA KUNIMWAGIA MAJI YA MOTO USONI KISA NILIMUONA AKIINGIZA MCHEPUKO NDANI

MAMA WA KAMBO ALIVYO TAKA KUNIMWAGIA MAJI YA MOTO USONI KISA NILIMUONA AKIINGIZA MCHEPUKO NDANI

Baba yangu ni dereva wa magari ya masafa kwaiyo mda mwingi anakua hayupo nyumbani anaweza akamaliza hata mwezi hajarudi nyumbani kwaiyo mama wa kambo aliutumia kuingiza wanaume ndani Naitwa Diana miaka 19 nipo dar hapa nyumbani tupo wa 4 mimi baba yangu mama wakambo pia yupo mkaka ambae ni mtoto wa huyu mama anampenda sana huyu yaani nikama roho yake Nimepigwa sana kisa yeye kuna siku alinilazimisha nifanye mapenzi na yeye nilivyo Kataa alinipiga sana na akaondoka basi mama wa kambo arivyorudi nilimuambia kua kaka alitaka kunibaka nilivyo Kataa amenipiga hivi yule mama aliniangaria weee Kisha akanifyoza fyuuuu unaringa unanini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments