MADAM NIPE KIDOGO BASI 10

MADAM NIPE KIDOGO BASI 10

Nilihisi kuchanganyikiwa, na sio siri katika kipindi ambacho nilijihisi mzembe wa mwisho nikipindi hicho, yaan nimekutana na mwanaume kwenye mahafali na nikajiamin kabisa na kwenda kulala nae, bila hata kumjua vizuri, nikaanza kujilaumu, maana sikuwa na namna yoyote ile ya kumpata… Nilikaa nikalia, nikatafakari, maana tayari nilikuwa nina mtoto mmoja, ambae nilimpata kwenye ndoa yangu ya nyuma, alafu nakuja kupata mtoto mwingine kizembe kabisa… Kwa kuwa nilikuwa nina kazi na nina uhakika kwa kumlisha mtoto, nikaona sio shidA sana, maana naweza kumlea mwanangu kwa namna yoyote ile, nikaamua kuacha maisha mengine yaendelee… Siku moja, nakumbuka ilikuwa ni mwisho wa mwezi,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments