
Ila bado nikagoma kuusikiliza moyo wangu maana ni dhahiri ulikuwa umemchagua Kendrick kwa kuogopa aibu za watu na kutokukubalika kwenye familia yake kutokana na umri wake na wangu namna ambavyo tuna utofauti mkubwa wa umri… Wazo la mwisho ambalo ni la kipuuzi ni kumkataa Kendrick, yeye alee mwanae, ila hawezi kuwa na mimi, aliondoka kwa unyonge sana baada ya kumpa hilo jibu, na muda wa kurudi shule ukafika na akarudi zake shule, na baada ya kurudi shule mimi pia nilikaa kama miezi miwili na nusu na nikajifungua mtoto wa kiume, na Kendrick akatoa jina kuwa aitwe brayan… Nikakubali kwakuwa alikuwa
0 Comments